Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Machapisho

Kilichoangaziwa

Yaliyojiri

 NDANI YA AMANI KUNA UTULIVU; si KILA NDANI YA UTULIVU KUNA AMANI! Nimesikia serikali ikisisitiza kuwa Tanzania sasa ni tulivu na kila kitu kiko sawa. Tamko hili tamu sana. Lakini kuna haya, yatusaidie kutofautisha utulivu na amani: 1. Sijamsikia kiongozi yeyote wa juu wa serikalini akiongelea utekaji, utesaji, na mauaji. Hata kwa kuigiza, atokee kiongozi alaani vitendo hivi. 2. Nimesikia baadhi ya viongozi wakiongea kwa mafumbo kama ninavyoongea mimi kwamba “lile lililotokea nchini kwetu oktoba 29”. Wanasita hata kulitamka ni jambo gani. Litamkwe ili taifa lipone. 3. Kuna mivutano mingi kati ya taasisi kadhaa na serikali. Mivutano hiyo haijengi. Chanzo twaweza kukijua lakini matokeo yake hatuyajui. Tulidhali Wakatoliki “vijora” ni wa kike, kumbe na wanaume vijora wapo?! Kwaresima ifute vijora wote. 4. Kwa kuwa hakuna anayeongelea utekaji na kutueleza waliotekwa wako wapi, basi angalau fanyeni haya ili tujue kuna amani na si utulivu tu: i) Acheni watu watekwe lakini wawe HURU kuse...

Machapisho Mapya Zaidi

Yaliyojiri leo tarehe2.3.2026

New updates

Yaliyojiri

NAMNA YA KUTIMIZA MALENGO

Kona ya burudani

Updates

Updates