wanaitwa ICON MELODY ni wasanii chipukizi kwenye tasnia ya muziki,hawa ni mapacha wanao fanana kiasi kwamba usiweze hata kuwatofautisha kabisa...kupata kazi zao ingia YouTube search ICON MELODY na ufurahie mziki bora kutoka kwa vijana hawa wadogo wenye kipaji cha kipee lakini pia usisahau kulike,subscribe na kucomment

Maoni

Machapisho Maarufu