NAMNA YA KUTIMIZA MALENGO

kanuni ni tatu tu kuhakikisha unafikia malengo yako kwa muda sahihi. 1.MUDA hakikisha muda wako mwingi unautumia kufanya kile ulichokusudia 2.NGUVU nguvu kubwa lazima uielekeze kwenye makusudio yako lengo kufikia ndoto zako kwa wakati 3.FEDHA pia fedha lazima uielekeze kwenye mradi wako kwani itasaidia kukurahisishia baadhi ya mambo kwenda sawa,hapo kila mtu anatakiwa kujua kwamba pesa hutumika kuzalisha pesa nyigine(faida).ni sawa na mtaji.. MUHIMU...... mtangulize mungu kwa imani yako kwani yeye ni mtoaji sisi ni watafutaji

Maoni

Machapisho Maarufu