New updates
Dunia Imeaminishwa Muislamu Ni Gaidi Ndio Mana Hata Akitokea Gaidi Kama Trump Anaeua Wenzake Hakuna Anaepaza Sauti Sababu Tayari Dumia Imeaminishwa Muislamu Ni Gaidi,
Uislamu Unakataza Vitu Vingi Sana Ambavyo Sio Sahihi Hata Kwa Macho Ya Kawaida Lakini Kuna Mtu Ataaminisha Dunia Ya Kwamba Muislamu Anakosea.
Labda Niseme Kitu Kidogo Kuhusu Muislamu. Muislamu Dini Yake Inamfundisha Upendo, Haki Na Kuishi Kwa Amani. Lakini Pia Muislamu Dini Yake Inamfundisha Kumuheshimu Mwingine, Kuheshimu Cha Mwingine Japo Yeye Huenda Kupitia Heshima Yake Akaitwa Mjinga.
Lakini Ukweli Usiopingika Muislamu Isingekua Hofu Ya Mungu Iliotawala Ndani Yake Hii Dunia Ndani Ya Muda Mfupi Ingekua Tofauti. Ila Muislamu Mara Nyingi Hua Anafikiri Kabla Ya Kutenda,
Labda Ndio Mana Anaonekana Sana Mjinga.

Maoni