Yaliyojiri leo tarehe2.3.2026

 TAFAKURI:

Jamhuri imelemewa na kesi feki ya Lissu! Wamevuliwa nguo maana ni karibia mwaka sasa wamemkamata Lissu na kumfungulia mashtaka ya uhaini ila hadi leo hawana ushahidi au mashahidi wa maana

Meanwhile Bi Kizimkazi anachukiwa ndani na nje ya nchi na hajakubalika

Nani alikuja na njama hii ya kipumbavu? Iko hivi:

πŸ‘‰πŸ½awali walipanga wamteke wamfiche - ikashindikana!

πŸ‘‰πŸ½ wakaamua wamfungulie haraka kesi ya uhaini alafu wamhukumu haraka wamfunge! Hii ndo sababu walitaka iwe kesi inaemdeshwa onlind - ikashindikana!

πŸ‘‰πŸ½Walitaka kesi iendeshwe gizani mahakamani bila wananchi kuhudhuria na bila taarifa kutoka - waliteka, walitesa na kuumiza wanachadema na wanaharakati waliohudhuria hadi wageni! Ikashindikana!

πŸ‘‰πŸ½ walipogundua kesi lazima iendeshwe na taarifa itatoka wakahaha kutunga kesi! Yaani wanailazimisha kesi ipate ushahidi wakaja na mashahidi wa siri - ikashindikama

πŸ‘‰πŸ½ wakasimamisha kesi wakijua baada ya uchaguzi feki watamalizana na Lissu - ikashindikana!

πŸ‘‰πŸ½ sasa wamebaki kutapatapa na hawataki Lissu afikishwe mahakamani maana kila anapoonekana analeta faraja kwa Taifa na ana raha kuliko mtesi wake πŸ˜€ - hii pia ni kushindwa! 

Ni hivi @SuluhuSamia you have only one option πŸ‘‰πŸ½ #FreeTunduLissu uncond


itionally!

Maoni

Machapisho Maarufu